Kiongozi cha Sheria Mkopeshaji haruhusiwi kujiuzia ardhi au nyumba iliyowekwa dhamana. Hata hivyo, akitaka kujiuzia: 1. Lazima iwe kwa ruhusa ya mahakama. 2. Anunue kupitia mnada wa hadhara na awe na dau la juu kuliko wote kurekebisha kasoro iliyojitokeza, basi mpangaji atapaswa kuhama katika nyumba hiyo. SHERIA YA ARDHI YA VIJIJI SURA 114(Kama Sheria zilivyorekebishwa mwaka 2002) Angalizo Iwapo yule anayetaka kugawa au kuweka rehani atadanganya kuwa mwanandoa mwenzake amekubali, basi kugawa huko, au kuweka rehani kutakuwa BATILIFU, kutegemeana na wanandoa au mwanandoa ambaye hakutoa ridhaa. Ukodishaji na upangishaji Sheria pia inaruhusu mtu kukodisha/kupangisha ardhi au majengo au kutoa ardhi kwa leseni kwa muda maalum. Iwapo yule aliyepanga ardhi au majengo hakutimiza masharti ya upangaji, yule mwenye ardhi yake, anaweza kumpa mpangaji notisi ya siku 30 na siku hizo zikiisha bila Kwa jumla sheria hii imewekeka utaratibu mpya wa umilikaji ardhi vijijini kwa sababu hapo awali hapakuwepo na sheria iliyopitishwa na bunge inayoeleza waziwazi kusimamia ardhi iliyoko vijijini. Hii ni kutokana na umuhimu wa ardhi kama inavyoelezwa kwenye Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 kuwa ardhi yote ina thamani, iwe ya vijijini au mijini na iwe imeendelezwa au la. Ardhi ya kijiji ni ipi? Sheria hii imefafanua kwa kina masuala mbalimbali yanayohusu ardhi ya kijiji. Kwa mujibu wa sheria hii, ardhi ya kijiji ni:13
Druckschrift
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
verfügbare Breiten