Kiongozi cha Sheria • Ardhi iliyo ndani ya mipaka ya vijiji vilivyosajiliwa chini ya Sheria ya Serikali za Mitaa(Mamlaka za Wilaya ya mwaka 1982) Sura ya 287 kama Sheria zilivyorebishwa mwaka 2002, na vijiji vilivyohusishwa chini ya Sheria ya Makazi ya mwaka 1965. • Ardhi ambayo imemilikiwa na wanakijiji kwa muda wa miaka 12 au zaidi kabla ya kuanza kutumika Sheria ya Ardhi ya 1999. • Ardhi ambayo Rais ameibadilisha kutoka kuwa ardhi ya jumla au ya hifadhi na kuwa ardhi ya kijiji. Rais hufanya hivyo kwa kumwelekeza waziri anayehusika kutangaza na kuitaarifu Halmashauri ya kijiji. • Ardhi iliyokaliwa na kutumiwa na mtu, familia au kikundi cha watu kwa mujibu wa sheria za kimila. • Ardhi ya pamoja ambayo Halmashauri ya kijiji itapendekeza kwa kupitia mkutano wa kijiji maeneo na makusudio ya maeneo hayo. • Ardhi ya makazi au matumizi ya jumuiya ambayo inaweza kutolewa kwa njia ya mgawo na Halmashauri ya kijiji. Nafasi ya mwanamke katika kumiliki ardhi ya kijiji Sheria hii pia imewapa wanawake haki katika kumiliki ardhi kimila, haki ambayo hapo awali ilikuwa haipo na kama ilikuwepo basi ni katika baadhi ya mila na desturi ambazo tunaweza kusema ni nzuri japokuwa ni chache sana. Mgawanyo wa ardhi ya kijiji Sheria ya ardhi ya vijiji imeigawa ardhi ya kijiji katika makundi matatu, nayo ni: Katika kueleza ni jinsi gani na kwa kiwango gani mwanamke amepewa nafasi katika kumiliki ardhi ya kijiji, ni vizuri 14
Druckschrift
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
verfügbare Breiten