Publikationen der Stiftung → Utaratibu wa Uteuzi wa Wagombea Ndani ya Vyama Tanzania Titel
Publikationen der Stiftung → Utaratibu wa Uteuzi wa Wagombea Ndani ya Vyama Tanzania
Titel
Titelaufnahme
Titelaufnahme
- TitelUtaratibu wa Uteuzi wa Wagombea Ndani ya Vyama Tanzania : Uchumbuzi wa Kijinsia
- Verfasser
- Körperschaft
- Erschienen
- Parallele Sprachausgabe
- Umfang1 Online-Ressource (18 Seiten)
- AnmerkungText Swahili
- AnmerkungLiteraturverzeichnis Seite 16-17
- SpracheSuaheli
- DokumenttypDruckschrift
- Schlagwörter
- Geografika
Links
- Nachweis
- Archiv
Dateien
Klassifikation
Zusammenfassung
Chapisho hili linatoa uchambuzi wa kijinsia wa namna teuzi za wagombea ndani ya vyama vya siasa hufanyika nchini Tanzania kwa kuangazia muktadha wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Matokeo ya utafiti yanaonyesha jinsi miundo ya vyama, sheria na kanuni zake, sheria za kitaifa na za taasisi, utamaduni wa kisiasa wa nchi na mambo ya kiuchumi na ya kijamii yanavyoweza kuathiri ushiriki wa wanawake katika siasa za vyama. Kwa muhtasari, uchambuzi unaonyesha kuwa kuna udhaifu mkubwa katika mfumo wa kitaifa wa sheria na taasisi katika kulazimisha vyama vya siasa kuhakikisha vinazingatia usawa wa kijinsia katika michakato ya ndani. Chapisho linatoa mapendekezo ya namna mifumo ya kisheria, taasisi na miundo inayoongoza mchakato wa uteuzi ndani ya vyama vya siasa inavyoweza kuboreshwa ili kukabili ushiriki hafifu wa kijinsia kwenye siasa na kuhakikisha ushiriki dhabiti wa wanawake katika shughuli zote za kisiasa nchini Tanzania