Druckschrift 
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
 

Kiongozi cha Sheria yoyote hapa Tanzania ambayo itakuwa na aina yoyote ya ubaguzi na unyanyasaji wa kijinsia, rangi, utaifa, kabila, dini n.k. Sheria ya Kiislamu Ni vema kutoa ufafanuzi kwamba, Watanzania wote ambao itadhihirika kuwa wameacha mila na desturi zao na ambao Uislamu huwaongoza katika vipengele vyote vya maisha yao, pamoja na watu wengine ambao si wazawa lakini ni Waislamu hupaswa kutumia sheria ya kiislamu katika mirathi yao. Mgawo wa urithi Sheria ya Kiislamu katika Mjane/wajane kama kuna watoto anarithi moja ya nane (1/8) ya mali ya marehemu. Mjane/Wajane kama hakuna watoto anarithi robo(1/4) ya mali. Wazazi wa hupewa 1/6 ya ya kuondoa mjane/wajane. marehemu salio baada fungu la Katika sheria ya Kiislamu, marehemu anaruhusiwa kuacha wosia kwa theluthi moja tu(1/3) ya mali yake kwa amtakaye. Theluthi mbili (2/3) ya mali yake lazima ifuate utaratibu wa Sheria za Kiislamu yaani irithiwe na warithi wake. Sheria ya Kiserikali (Indian Succession Act 1865) Sheria hii ilitungwa huko India mwaka 1865 na ikahalalishwa kutumika hapa Tanzania toka enzi ya utawala wa Waingereza. 86