Druckschrift 
Tafsiri nyepesi ya sheria za kazi - Tanzania : (a simplified version of the Tanzania labour law) ; sheria ya majadiliano ya utumishi wa umma, na 19 ya 2003 ; sheria ya ajira na mahusiano kazini, na. 6 ya 2004 ; sheria ya asasi za kazi, na. 7 ya 2004
Einzelbild herunterladen
 

Evans Robson Nzowa ni wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Alipata shahada ya kwanza ya Sheria mwaka 2000 kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Ndugu Nzowa kwa sasa ni Mwanasheria wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Mabenki, Huduma, Biashara na Kilimo [FIBUCA]. ISBN No. 9987- 22- 097- 5 Chapa na Ecoprint Ltd, Barua pepe: ecoprint@bol.co.tz Tafsiri Nyepesi ya Sheria za Kazi ­Tanzania Tafsiri Nyepesi ya Sheria za Kazi- Tanzania (A Simplified Version of the Tanzania Labour Law) Sheria ya Majadiliano ya Utumishi wa Umma Na. 19 ya 2003 Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya 2004 Sheria ya Asasi za Kazi Na. 7 ya 2004 ?à?ŠŇ Þ žMÅžšÌ!äžÞ?