Publikationen der Stiftung → Kuimarisha Mfumo Jumuishi wa Uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa Nchini Tanzania Titel
Publikationen der Stiftung → Kuimarisha Mfumo Jumuishi wa Uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa Nchini Tanzania
Titel
Titelaufnahme
Titelaufnahme
- TitelKuimarisha Mfumo Jumuishi wa Uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa Nchini Tanzania
- Verfasser
- Erschienen
- Parallele Sprachausgabe
- Umfang1 Online-Ressource (7 Seiten)
- AnmerkungText Swahili
- SpracheSuaheli
- SeriePolicy brief
- DokumenttypDruckschrift
- Schlagwörter
- Geografika
Links
- Nachweis
- Archiv
Dateien
Klassifikation
Zusammenfassung
Muhtasari huu wa sera unajumuisha matokeo ya utafiti na mapendekezo ya sera juu ya namna ya kuhakikisha kuna mfumo jumuishi wa uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa nchini Tanzania. Muhtasari huu umekusanya mapendekezo yanayovitaka vyama vya siasa, serikali na wadau wengine muhimu kuweka mikakati ya kufanikisha usawa wa kijinsia unaojali makundi yote katika michakato ya kisiasa nchini Tanzania. Mapendekezo hayo kati ya mambo mengine, ni pamoja na hitaji la: kuzipitia na kuzifanyia marekebisho sheria za kitaifa zinazosimamia vyama vya siasa; kufanya mapitio na marekebisho ya mfumo wa uchaguzi; kutengeneza upya mfumo wa majimbo ya uchaguzi; kuweka mfumo wa mgawanyo sawa wa nafasi za wagombea na kubadili mifumo ya uteuzi ndani ya vyama vya siasa. Muktadha wa kisiasa, mgawanyo wa madaraka na maslahi ndani ya mfumo ndivyo vitachangia kufanikiwa au kutofanikiwa kwa mikakati iliyopendekezwa hapo juu.