Druckschrift 
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
 

Kiongozi cha Sheria yuko Nigeria na anataka kufunga ndoa mjini Lagos na Bi Nancy Ntehene wa Tanzania. Je afanyeje? 5. Bwana Sikujua baada ya kuishi na Sikudhani kwa miaka 10 ameamua kumfukuza kwa madai kuwa hajafunga naye ndoa. Je! Sikudhani ana haki gani kisheria. Na kama zipo ni kwa nini? 43