Kiongozi cha Sheria kabla ya kumuoa mwaka 1954. Felista Banyika alifariki mwaka 1963 miaka tisa baada ya ndoa yao na Felista. Baada ya miezi sita Felista alifukuzwa kwenye nyumba na shamba. Hukumu Mheshimiwa Jaji Seaton alitoa uamuzi kwamba“katika aya ya 77 ya Sheria ya Hali ya Watu, mjane hana sehemu yoyote ya urithi kwa mali alizoacha marehemu mumewe ila anaweza akapata sehemu ndogo ya mali inayoondosheka na kutumia shamba mpaka aolewe au afe na kupata sehemu ya mazao anayolima”. Wameweza kufafanua na kupambanua mambo kwa kina na kwa undani na kutoa hukumu zinazolenga kwenye usawa wa binadamu. Kwa mfano katika kesi ya Abdallah Salim dhidi ya Ramadhani(1968) H.C.D 129 Mheshimiwa aliyekuwa Jaji Mkuu Georges alitamka kwamba:- Mahakama haikusudii kuingilia mila za kabila lolote hapa Tanzania, isipokuwa madhumuni yake ni kuhakikisha mila hazitumiki kumbagua mtu yeyote. Kesi zinazoamuriwa kwa kufuata katiba Katiba ya Nchi inasema kwamba, binadamu wote ni sawa. Kwa hiyo majaji wengine wamejaribu kupinga sheria za ubaguzi za mirathi kwa kutumia Katiba ya Nchi. 90
Druckschrift
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
verfügbare Breiten