Kiongozi cha Sheria kwamba kuongeza mke mwingine kutazidisha taabu. Nini hufanyika pindi kukiwa na kipingamizi Mfungishaji ndoa anapopokea taarifa ya kupinga ndoa isifungwe, atapeleka taarifa hiyo kwenye Baraza la Usuluhishi la Ndoa. Huko aliyeweka pingamizi pamoja na yule anayetaka kuoa au kuolewa wataitwa na kila mmoja atajieleza. Baada ya kusikiliza pande zote Baraza lina uwezo wa kuamua ndoa hiyo ifungwe au isifungwe na mfungishaji ndoa atafuata uamuzi wa Baraza. Kama mtu atatoa kipingamizi cha uongo na ikithibitika hivyo anaweza kushitakiwa na akitiwa hatiani adhabu yake anaweza kufungwa kifungo kisichozidi miaka mitatu. Baada ya kipengele hiki kutimizwa ndoa inaweza kufungwa. (a) Ndoa ya mke mmoja Huu ni muungano unaoruhusu mwanaume kuoa si zaidi ya mke mmoja. Mfano, ndoa ya kikristo. (b) Ndoa ya zaidi ya mke mmoja Huu ni muungano unaoruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja. Mfano, ndoa za Kiislamu na ndoa za kimila Sheria ya Ndoa inatambua aina 3 za ufungaji wa ndoa yaani kiserikali, kidini na kimila. (a) Ndoa ya Kidini Ndoa hii hufungwa kwa mujibu wa taratibu ya dini inayohusika. Ni lazima masharti yote yatimizwe kisheria, taarifa ya nia ya kufunga ndoa itolewe, ndoa ifungwe mahali pa wazi panapokubalika kisheria na mfungishaji awe na mamlaka hayo kisheria. Aina za ndoa Kuna aina mbili za ndoa; (b) Ndoa ya Kiserikali Ndoa hii hufungwa mbele ya Mkuu wa Wilaya ambaye ndiye 33
Druckschrift
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
verfügbare Breiten