Kiongozi cha Sheria hiyo ukoma si mojawapo. Licha ya hivyo, kuruhusu kutoa talaka katika hali kama hii ni kutoa mfano mbaya kwa waume kuwaacha wake zao, au wake kuwaacha waume zao kwa sababu ya ugonjwa. Kufanya hivyo ni kuingiza udhaifu katika ndoa”. Ester Bakari 202 Mponda dhidi Nahoda(1982) ya TLR Maelezo Mke na mume walikuwa wameishi kwa muda wa miaka 8. Mke alipeleka shauri la madai ya talaka kwa sababu mume alikuwa hampi uhuru wa kutumia kipato alichokuwa anachuma mwenyewe. Hukumu Mahakama ilikataa kutoa talaka kwa kuwa sababu iliyotolewa siyo nzito na mahusiano kwenye ndoa yalikuwa hayajavunjika kiasi ambacho hayawezi kurekebishwa. Mambo ya kuzingatia • Endapo mume atafanya vitendo vibaya ambavyo vitamsababisha mkewe aondoke kwenye nyumba ya ndoa, mume ndiye anayehesabika kuwa amemwasi mkewe kwa hila; Ijapokuwa mke ndiye aliyeondoka katika nyumba ya ndoa. • Mume au mke anaweza kuhesabika kuwa amemwasi mwenzie hata kama wanaishi kwenye nyumba moja na hata chumba kimoja kama mume au mke atakuwa amekataa kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu bila sababu yoyote. • Mume au mke akimruhusu mwenzie kuzini hawezi baadae kudai talaka akitumia uzinifu wa mkewe au mumewe kwa sababu aliruhusu zinaa hiyo. • Mahakama haiwezi kumpa mume au mke talaka kwa sababu mwenziwe 52
Druckschrift
Kiongozi cha sheria : na kituo cha msaada wa sheria kwa wanawake
Entstehung
Einzelbild herunterladen
verfügbare Breiten